"BABY WANGU ANADEKA SANA JAMANI.....YAANI WASIOPENDA PENZI LETU IMEKULA KWAO"...AMANDA
Posted by Bigie amanda, bwana misosi, habari za kitaifa 11:57 PMSTAA wa filamu Bongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefunguka kuwa kipenzi chake, Emmannuel Rushau ‘Bwana Misosi’ anapenda kudeka pindi wanapokuwa viwanja.
Akiongea kwa mbwembwe namwandishi wetu katika Viwanja vya Leaders Club hivi karibuni, Amanda aliweka wazi kuwa mpenzi wake huyo amekuwa na tabia hiyo hali ambayo inaleta maswali mengi kwa wasiolipenda penzi lao.
“Jamani Baby wangu naye anadeka... hebu tazama sasa hivi alivyonilalia, majungu yataanza sasa hivi. Lakini nilikuwa nikiomba faraja, sasa nimeipata nashukuru,” alisema Amanda.
"NAMPENDA BWANA MISOSI KWA SABABU HANA DHARAU NA ANAJIHESHIMU".....AMANDA
Posted by Bigie amanda, bwana misosi, habari za kitaifa 1:10 AM
MSANII wa Filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefunguka kuwa heshima aliyonayo staa wa Muziki wa Bongo fleva, Joseph Lushalu `Bwana Misosi’ ndiyo iliyomfanya ampe penzi lake.
Akiongea na mwandishi wa habar hii, Amanda alisema yeye siyo kama wanawake wengine ambao wanavutiwa na sauti,swaga na sura, bali amempenda Bwana Misosi kutokana na heshima aliyonayo katika jamii.
“Bwana Misosi hana dharau, anawaheshimu wakubwa na wadogo pia ana mapenzi ya dhati tofauti na wanaume wengine wa siku hizi,” alisema.
Aidha, alisema kuwa kutokana na hivyo anampenda mpenzi wake huyo kuliko kitu chochote na anamuomba Mungu ayaendeleze mapenzi yao ya dhati ili wadumu milele.
"HUWA NAJISIKIA KINYAA MWANAUME AKIYAANGALIA MAKALIO YANGU"......AMANDA
Posted by Bigie amanda, habari za kitaifa 3:59 AM
STAA wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefunguka kuwa anakasirishwa na tabia ya baadhi ya wanaume kupenda kumtazama sehemu ya nyuma ya mwili wake akimaanisha makalio.
Akizungumza na Mpekuzi wetu, Amanda alisema siku zote anakasirishwa na wanaume hao wanaofanya hivyo bila sababu za msingi na kuanika kuwa jambo hilo huwa linamkera kupita maelezo.

“Utakuta mwanaume anatumia nguvu nyingi kukutazama makalio hadi anakukosesha raha.
.
Featured Post
NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne ambayo ni Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

