"HUWA NAJISIKIA KINYAA MWANAUME AKIYAANGALIA MAKALIO YANGU"......AMANDA



STAA wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefunguka kuwa anakasirishwa na tabia ya baadhi ya wanaume kupenda kumtazama sehemu ya nyuma ya mwili wake akimaanisha makalio.


Akizungumza na Mpekuzi wetu,  Amanda alisema siku zote anakasirishwa na wanaume hao wanaofanya hivyo bila sababu za msingi na kuanika kuwa jambo hilo huwa linamkera kupita maelezo.

Amanda Poshi

“Utakuta mwanaume anatumia nguvu nyingi kukutazama makalio hadi anakukosesha raha.

 Kwa nini asiniangalie na viungo vyangu vingine? Kwa kweli inatia  kinyaa  sana. Kwa taarifa yao wataishia kula kwa macho,” alifunguka Amanda.

Posted by Bigie on 3:59 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.