"JAPOKUWA MIMBA YANGU IMETOKA,LAKINI NI LAZIMA NIZAE NA BUSHOKE".......JINI KABULA
Posted by Bigie bushoke, habari za kitaifa, jini kabula 3:30 AM
MWIGIZAJI machachari Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kuwa licha ya ujauzito wa awali kuharibika, bado ana nia ya kuzaa na mpenzi wake Rutta Maximilian Bushoke aliye mwanamuziki wa Bongo Fleva.Akipiga stori na mpekuzi jijini Dar es Salaam, Jini Kabula alisema bado ana hamu ya kuzaa na mpenzi wake huyo.
“Haikuwa riziki, ilikuwa bahati mbaya, dhumuni langu lilikuwa ni kuzaa na Bushoke kwa sababu nampenda, hivyo Mungu akinijalia tena, nitazaa naye tu. Natamani sana niwe mama wa mtoto wake,” alisema Jini Kabula.
.
Featured Post
NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne ambayo ni Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...
