DR. KIKWETE AZINDUA RASIMI JENGO JIPYA LA CHUO CHA TAIFA CHA UTALII JIJINI DAR ES SALAAM
JAMII 5:54 PM
JK akiwapongeza na kuwapa ngao washindi wa shindano la wapishi bora wakati wa sherehe za uzinduzi wa jengo jipya la Chuo cha Taifa cha Utalii mtaa wa Garden Avenue jirani na IFM na Makumbusho ya Taifa na Nyumba ya Utamaduni jijini Dar siku ya jumamosi (jana)

JK akisalimiana na wanafunzi katika Chuo cha Taifa cha Utalii

JK akisalimiana na wanafunzi wa chuo hicho ambao wamefurahi kwa ujio wake

JK akisalimiana na wakufunzi na wanafunzi

Ni furaha ilioje kupata chuo cha utalii cha taifa

Baadhi ya wanafunzi

JK akikata utepe na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Mh Henri de Raincourt. Kushoto ni Waziri wa Utalii Mh Ezekiel Maige na kulia ni Mtendaji Mkuu wa Chuo hicho Bi Agnes Mziray
