MAFURIKO DAR YAKATA DARAJA LA TABATA MATUMBI...BARABARA YA MANDELA
JAMII 11:05 PM
Barabara ya mandela haikupitika tangu jana baada ya daraja la tabata matumbi kukatika na kukata mawasiliano kwenda buguruni.Maji yamezoa makontena kwenye yard iliyoko maeneo ya jirani na kuyaleta hadi barabarani.Watu zaidi ya kumi wameletwa na maji hayo wakiwa wamekufa.