MAFURIKO YAUA ZAIDI YA WATU 6 NA KUHARIBU MALI ZENYE THAMANI NYINGI....
JAMII 5:58 AM
Miongoni mwa maafa hayo hadi tunakwenda mtamboni ni vifo vya watu sita ambao walitajwa rasmi na mamlaka za jiji na nyumba nyingi ambazo zimeharibiwa vibaya na watu kupoteza mali zao nyingi.