TAMASHA LA TIGO LA KUFUNGA MWAKA LAUTIKISA MJI WA DODOMA


Msanii wa muziki wa kizazi kipya Big John kutoka mjini Dodoma akitoa burudani wakati wa tamasha maalum la Tigo la kufunga mwaka lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Dodoma mwishoni mwa wiki. Kampuni ya Tigo imeandaa matamasha kadhaa yatakayofanyika katika sehemu mbalimbali hapa nchini.
Msanii wa muziki,  Madee, kutoka kundi la Tip Top Connection la jijini Dar es Salaam akitoa burudani wakati wa tamasha maalum la Tigo la kufunga mwaka lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Dodoma . Kampuni ya Tigo imeandaa matamasha kadhaa yatakayofanyika katika sehemu mbalimbali hapa nchini.
 

Twenty Percent akitoa burudani wakati wa tamasha maalum la Tigo la kufunga mwaka lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Dodoma . Kampuni ya Tigo imeandaa matamasha kadhaa yatakayofanyika katika sehemu mbalimbali hapa nchini.

Posted by Bigie on 9:32 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.