CHID BENZ APIGWA MARUFUKU CLUB ZA MBOWE......
JAMII 2:21 PM
Msanii wa kufokafoka Chid Benz amepigwa stop kutimba club za Bills na Much more kutokana na kile kinachodaiwa kuleta vurugu ukumbini humo siku kadhaa zilizopita.
Mwishoni mwa wiki hii Chid Benz alifika club Much more lakini alitolewa nduki na mabaunsa atoke na asionekane tena billz ama Much more kwani hawataki kumuona kutokana na ukorofi wa msanii huyo.