HAPPY BIRTHDAY MH. RAIS KIKWETE



Tarehe kama ya leo (October, 7) ni siku aliyozaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Kikwete. 

Mpekuzi  inaungana na maelfu ya wananchi waliomtakia maisha mema na wanaondelea kumpongeza kwa siku hii. Sisi tunamtakia maisha marefu na Mungu amjalie kuliongoza vema taifa letu. 

Kupitia Twitter, Mheshimiwa Kikwete amewashukuru wote wanaoendelea kumtakia birthday njema.

Posted by Bigie on 2:07 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.