HII NDO VIDEO YA UNYAMA UNAOTENDEKA HUKO SOMALIA.....TUMUOMBE MUNGU ATUEPUSHE NA UNYAMA HUU
habari za kitaifa, picha za utupu 3:30 PM
Mpaka sasa nimeshindwa niandike nini juu ya habari hii mana NIMESHINDWA KUIMALIZIA HII VIDEO......
Ni vigumu sana kuushuhudia unyama na ukatili kama huu ukitendwa mbele ya binadamu mwenzako.....
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizobarikiwa na kujaliwa AMANI...Ni vema tukaitunza AMANI hii maana vitu si kitu cha kitoto......
Watu ambao huathirika na kuumia ni sisi watu wa chini ambao hatuna kitu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA...