Lema,Mbowe na nassari mahakamani Mawakili wakiwa kwenye viti vyao Hawa ndiyo waliokuwa wamefungua kesi dhidi ya lema Mahakamani,lissu,nassari,mwenyekiti mbowe na kilewo wakiteta na mke wa lema Lema akianza kutoa hotuba fupi baada ya kutoka mahakamani.kulia ni joshua nassari Vitalisi kimomogoro,wakili wa lema.huyu ndiye amekuwa na kesi hii tangu kuanza Tundu lisu,mtetezi wa lema.aliingia baada ya kesi kufika mahakama ya rufaa.ameshangiliwa sana
Askari wakisindikiza msafara wa wafuasi wa CHADEMA hapa lema akiwa na kilewo wakati wa maandamano ya kutoka mahakamani kuelekea makao makuu ya chadema
Hukumu imeangalia haswa swala la Locus Stand ya kama waliofungua kesi walikuwa na haki kisheria ya kufanya hivyo.
Imeangaliwa kwa kina na kuonekana kuwa waliofungua shitaka dhidi ya lema hawakuwa na locus stand ya kufanya hivyo.
Kwa hiyo mengine yote yamekuwa null and void.
Hukumu haikuchukua hata nusu saa.Lema ni mbunge halali wa arusha mjini tangia leo