HII NDO SCANDAL YA BENJAMIN


Mkali Benjamin wa Mambo Jambo ambaye ni msanii kutoka Art In Tanzania aliye-hit na ngoma kibao kama Nimefulia, My Friend na nyingine zilizomzolea mashabiki lukuki, Mwaka huu amejipanga vyema kwa kudondosha mawe kibao.

Benjamin ametoa nafasi kwa mashabiki wake muhimu kusikiliza ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ”Scandal”. Bofya hapo chini kusikiliza ngoma hiyo.


Posted by Bigie on 12:58 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.