KITENDO CHA WANAWAKE KUNYONYANA NDIMI HUKU WAKIWA NUSU UCHI KIMEMFANYA PREZZO AIPITIE UPYA VIDEO YAKE
Posted by Bigie habari za kitaifa, PICHA ZA UCHI, prezzo 3:19 AMInaonekana baadhi ya vituo vya runinga nchini Afrika Kusini, zikiwemo Channel O na Soundcity zimetaka video mpya ya Prezzo, Liqher ifanyiwe marekebisho kadhaa ili vianze kuicheza.
Hiyo ni kwa mujibu wa mawasiliano kwenye mtandao wa Twitter kati ya msichana aitwaye Tricia Stever anayetumia jina GOLDIE 4EVER GOLDEN aliyetaka kufahamu kwanini video hiyo haioni ikichezwa kwenye vituo hivyo.
“Pls y is d video for #liqher not being shown on soundcity, channel o n other music channels @amb_prezzo #justcurious,” aliuliza msichana huyo jana.
Prezzo akiwa kwenye jacuzzi
Wanawake wakionesha vitendo vya usagaji
Wanawake wakinyonyana ndimi kwenye video hiyo
Prezzo alijibu, “Working on it, had 2 make sme changes……if u know wht I mean.”
“Yeah i understand but pls try n hasten it up, cos dat video is dope n d whole of africa need to watch it,” alitweet Tricia.
Video ya Liqher inamuonesha Prezzo katika baadhi ya scenes akiwa kwenye Jacuzzi na wasichana walio nusu utupu na wengine wakinyonyana ndimi.
Katika sehemu zingine anaonekana msichana mrembo akijig’ata vidole vyake kimahaba na hivyo kuamsha hisia kali .
HIZI NDO SABABU ZILIZOMFANYA PREZZO ASHINDWE KUHUDHURIA MAZISHI YA MPENZI WAKE, GOLDIE
Posted by Bigie habari za kitaifa, prezzo 4:35 PMPrezzo anaonekana akiwa amevaa nguo nyeusi zote, hii ilikua ni ibada ya kumuombea Goldie ambayo ilifanyika siku kadhaa kabla ya Prezzo kuondoka Nigeria kurudi Kenya.
Ni watu wengi wanajiuliza imekuaje CMB Prezzo hajaonekana kwenye msiba wa mpenzi wake ambae walikua na plans za kuoana, Mnigeria Goldie aliefariki muda mfupi tu baada ya kufika Nigeria akitokea Marekani.
Kwa sababu nimeamua kumuacha Prezzo apumzike kwa sasa, ili kujua angalau hata kwa muhtasari niliamua kumtafuta Arthur Samwel ambae ni Dj wake na msimamizi wa kazi nyingi anazofanya Prezzo.
Alichosema Arthur kuhusu Prezzo kutomzika Goldie ni hiki “Prezzo alirudi Nairobi wiki iliyopita, ilikua ni weekend na mpaka anatoka Lagos alikua hajui ni siku gani Goldie atazikwa kwa sababu Wanigeria wanatabia ya kuchelewa kuzika, sasa mtu kama uko ugenini huwezi kukaa muda wote……..
kwa bahati mbaya Prezzo akiwa amesharudi Nairobi alipigiwa simu kwamba Goldie ameshazikwa hivyo ikawa ni ngumu kurudi tena Lagos, sasa hivi yuko Eldoret Kenya kwenye ishu za kampeni”
KAULI YA PREZZO KUHUSU KIFO CHA MCHUMBA WAKE GOLDIE
Posted by Bigie goldie, habari za kitaifa, prezzo 9:23 AMKupitia ukurasa wake wa Facebook, Prezzo ameandika jinsi anavyojisikia kufuatia kifo cha Goldie, msichana aliyekuwa amepanga kumchumbia.
God saw you were getting tired, and a cure was not meant to be. So he put his arms around you, and whispered come with me. With tearful eyes we watched you, as we saw you pass away.
Although we love you deeply, we could not make you stay.Your golden heart stopped beating,hard working hands at rest. God broke our hearts to prove to us.He only takes the best.
Hizi ni tweets za baadhi ya mastaa wengine kufuatia msiba huo:
AY: Losing a loved one is very difficult for the people who live on,I mourn U till I join U, R.I.P Goldie .. You call me #SKIBOBOMASTER all the time.. Pole sana @AMB_Prezzo kuwa STRONG!!
MwanaFA: Doh… @GoldieHarvey …sasa ndio imenienea…kapumzike kwa amani mama…safari yetu wote,umetutangulia tu…
Mercy Johnson: Waje ooooooo,am so broken,remember we all did dinner before d wedding,awww waje,am hurt
Waje: Am so hurt,so hurt.RIP my dear friend GOLDIE
Kalu Ikeagwu: Goodnight Goldie. Go rest after all the day’s work.
Audu Maikori: Honest I do not even have the words to describe how distraught I am with the news of Goldie’s death! Gods will be done. We mourn her deeply
Seyi Law: Than you Lord for the Gift of Life…RIP Goldie Harvey, you’ll be greatly missed!
Lami Phillips: “The more i know;the less i understand” God keep your soul Goldie. Oluwa sanu fun wa.
Linda Ikeji: Finding it so difficult to sleep. Scared of closing my eyes. Young, vibrant people aren’t supposed to die so suddenly. RIP Goldie
Darey Art Alade: So sad hearing about Goldie…? big dreams gone just like that? Go well dear… Let’s celebrate her life #RIPGoldie
Stella Damasus: Rest in peace Goldie. We will miss you dearly. God grant your family the strength to bear the loss. It is well.
Terry Tha Rapman: God rest your soul, Goldie!
Banky W: My Goodness… i Just heard some terrible news.. RIP Goldie Harvey… wow. Lord bless her soul & have mercy on us all.
Keitta Ossei Massai: Goldie! R.i.P! God be with you!
Uti Nwachukwu: Goldie I will celebrate you. Even in death.You were a kind woman that made a HUGE mark in africa. May God bless&accept ur soul IJN-Amen
BREAKING NEWS: GOLDIE AMBAYE NI MCHUMBA WA PREZZO AFARIKI DUNIA
Posted by Bigie goldie, habari za kitaifa, prezzo 8:51 PMYule Mwanadada kutoka Nigeria aliyeshiriki katika Big Brother Africa Star game na baadaye kuanza mahusiano ya kimapenzi na rapper wa Kenya Prezzo, amefariki dunia.
Msanii huyo aliyeimba nyimbo ya Skibobo, akiwa amemshirikisha AY, aliaga dunia mapema jana, muda mfupi tu baada ya kurudi akitokea Marekani alipokua ameenda kushuhudia tuzo za Grammys.
Goldie, inasemekana aliugua ghafla na hapo hapo kufariki. Meneja wa msanii huyo alidhihirisha habari hizi kupitia account ya twitter ya Goldie kwa kusema;
Tumejaribu kupata mawasiliano na Prezzo atoe tamko, lakini hatujafanikiwa.
Tunatoa pole kwa Prezzo, familia ya Goldie Harvey, wasanii wenzake pamoja na fans wa mwanadada huyu.
Msanii huyo aliyeimba nyimbo ya Skibobo, akiwa amemshirikisha AY, aliaga dunia mapema jana, muda mfupi tu baada ya kurudi akitokea Marekani alipokua ameenda kushuhudia tuzo za Grammys.
Goldie, inasemekana aliugua ghafla na hapo hapo kufariki. Meneja wa msanii huyo alidhihirisha habari hizi kupitia account ya twitter ya Goldie kwa kusema;
Tumejaribu kupata mawasiliano na Prezzo atoe tamko, lakini hatujafanikiwa.
Tunatoa pole kwa Prezzo, familia ya Goldie Harvey, wasanii wenzake pamoja na fans wa mwanadada huyu.
PREZZO NA GOLDIE KUFUNGA PINGU ZA MAISHA FEBRUARI 9
Posted by Bigie goldie, habari za kitaifa, prezzo 5:50 AMKwa mujibu wa mitandao mbalimbali nchini Nigeria, rapper Jackson Makini aka Prezzo anatarajia kufunga ndoa na mwanamuziki wa Nigeria Goldie February 9.
Habari hiyo pia imeandikwa na website ya Big Brother Africa. Harusi hiyo itafanyika jijini Lagos, Nigeria.
Katika hatua nyingine mwakilishi wa mwaka jana wa Nigeria kwenye shindano la Big Brother Africa, anatarajia kuanzisha Reality TV show yake.Goldie anaanzisha show hiyo iitwayo ‘Tru Friendship’. ‘Tru Friendship’ itaonesha maisha ya kila siku ya muimbaji huyo wa Skibobo, Goldie, yote kama mtu maarufu na kama Susan Harvey.
Show hiyo itaanza kuonekana mwishoni mwa mwezi huu.
HATIMAYE PICHA YA PREZZO NA GOLDIE AKIWA JIJINI NAIROBI YASAMBAA MITANDAONI
Posted by Bigie goldie, habari za kitaifa, prezzo 4:20 PMHivi karibuni kituo cha Channel O kilikuwa jijini Nairobi kikiwa na mastaa kibao wa Afrika na kurekodi O News kwenye ukumbi wa KICC.
Mastaa hao ni pamoja na Channel O VJs Denrele wa Nigeria, Jokate, J Town wa Ghana na Flavia wa Uganda.
Kulikuwepo pia na wasanii kama Khuli Chana wa Afrika Kusini, Banky W wa Nigeria na Wizkid.
Lakini pia kulikuwepo na ujio wa Goldie ambaye alienda kimya kimya.
Kuna picha ilisambaa wiki hii inayomuonesha msichana mwenye nywele kama za Goldie akiwa na Prezzo japo sura haikuwa inaoenaka.
Sasa kumepatikana picha inayowaonesha vizuri mastaa hao na kuthibitisha tetesi hizo huku ikionesha kuwa wapenzi hao wa BBA wanaelewana vizuri kwa sasa
.
Featured Post
NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne ambayo ni Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...








