ALIYEMPA MIMBA BEYONCE IMEFAHAMIKA KUWA ANA MKE MWINGINE NA MTOTO. POLE SANA BEYONCE KWA MSIBA HUU...
JAMII 2:38 AM
Beyonce pichani juu aliyetangaza siku chahe kuwa anaujauzito aliopewa na nguli wa muziki Jay-Z, huku kukiwa na madai ya Rapper Jay z kutelekeza mtoto wake aliyezaa na mwanamitindo kutoka Trinidad..Je Beyonce atavumilia haya maumivu wakati alikuwa na matumaini ya kumzalia Jay Z mtoto wa kwanza
Pichani juu ni Jay-z na mwanae, Siku chache baada ya mrembo Beyonce kutangaza kuwa ana ujauzito wa nguli wa muziki na kipenzi chake Rapper Jay - Z, imegundulika kuwa ana mtoto wa pembeni aitwaye Jerald Andrews. Nguli huyu wa muziki anadaiwa kuzaa na mwanamitindo Schenelle Scott kutoka Trinidad. Watu wameshangazwa sana na jinsi mtoto huyu alivyofanana na Jay Z mwenyewe....
Pichani juu ni Mwanamitindo kutoka Trinadad, Schenelle Scott anayedaiwa kuzaa na Rapper Jay z, wakiwa pamoja na mtoto wao katikati aitwaye Jerald Andrews.







