TATHMINI YA AJALI ILIYOTOKEA MBALIZI- MBEYA NA KUUA WATU WATATU
JAMII 9:18 PM
Polisi wakiangalia gari aina ya roli lenye namba IT.9518, lililopata ajali baada ya kugongana na gari jingine na hivyo kupinduka na kusababisha vifo vya watu watatu watembea kwa miguu na kuvunja nyumba kwenye mji mdogo wa Mbalizi,jijini Mbeya jana.
Gari lenye nambari za usajili T.438 BRT aina ya Land Rover, mali ya mchungaji Nduka wa kanisa la Uinjilist Mbalizi. Ambalo liligongana na Lori hilo.
Taswira ya mbele ya Lori hilo baada ya kupata ajali na kusababisha hasara kumbwa.





