CHADEMA YAAMBULIA " UPEPO" KATIKA KATA YA GANGILONGA HUKO IRINGA
JAMII 8:22 PM
Matokeo ya awali ya uchaguzi mdogo kata ya Gangilonga katika jimbo la Iringa mjini yalianza kutangazwa tangu jana usiku huku mgombea wa Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) Edwin Sambala ambaye alikuwa diwani wa kata hiyo kupitia CCM akijikuta akiambulia UPEPO katika uchaguzi huo baada ya kushindwa na Nicilina Lulandala ambaye ni mwenyekiti wa UWT wilaya ya Iringa mjini.
MATOKEO YATAKUIJIA HIVI PUNDE






