MCHINA AGOMA KULIPA USHURU WA MAEGESHO KWA KUWA WEEKEND SIYO SIKU YA KAZI
Posted by Bigie
JAMII
3:58 PM
Moja ya watumishi wa kampuni ya AAICO ambayo ndiyo wamepewa damana ya kukusanya ushuru wa maegesho ya magari jijini mbeya akitoa mnyororo kulifunga gari ya wachina hao huku mama wa kichina akilia kwa hasira
 |
| Mama wa kichina akimtolea maneno makali binti Eliza mkusanya ushuru wa maegesho ya magari huku mchina huyo akiendelea kugoma kuwa hawezi lipa ushuru siku ya jumamosi na jumapili kwani ni siku za mapumziko siyo siku za kukusanya ushuru |
 |
| Mume wa mama mama a kichina akijaribu nae kuwaelewesha wakusanyaji waushuru wa maegesho yamagari kuwa wameshazoea hivyo kutolipa siku ya jumamosi na jumapili kwani ni siku za mapumziko |
 |
| Mama wa kichina akimfukuza binti mkusanyaji ushuru |
 |
| Mama wakichina yuhoi kajilaza kwenye gari yake kwa hasira aliyonayo |
 |
Mama wakichina akimtazama binti Eliza kwa hasira kuwa ni mwizi
SOURCE: MBEYA YETU |

Posted by Bigie
on 3:58 PM.
Filed under
JAMII
.
You can follow any responses to this entry through the
RSS 2.0