WAZIRI MKUU AKUTANA NA MARCIO MAXIMO NCHINI BRAZIL
JAMII 4:09 PM
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) , Marcio Maximo kwenye hoteli ya JW MARRIOTT ya Rio de Janeiro akiwa katika ziara ya kikazi nchini Brazil .Katikati ni mkewe Mama Tunu Pinda.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars), Marcio Maximo kwenye hoteli ya JW MARRIOTT ya Rio de Janeiro akiwa katika ziara ya kikazi nchini Brazil Oktoba 8,2011.






