MREMBO APEWA KICHAPO BAADA YA KUMFUMANIA BOYFRIEND WAKE AKIWA NA KIMWANA MWINGINE
JAMII 12:22 AM
Mrembo aliyeshiriki Shindano la Maisha Plus Season II, Neema Emmanuel amefunguka kuwa siku inayomtesa maishani mwake ni ile aliyomfumania boyfriend wake lakini mwisho wa siku akapigwa yeye.
Neema alisema: “Siwezi kumtaja huyo boyfriend wangu kwa sababu nilishaachana naye, hata huyo mwanamke niliyemkuta naye simtaji, sioni umuhimu. Ila iliniuma, yaani unamfumania mtu halafu unapigwa wewe.”

Mrembo huyo,mbali na maumivu hayo anadai kuteswa sana na rushwa ya ngono .
“Nateswa sana na rushwa ya ngono. Kila sehemu ninayokwenda nakutana na wanaume ambao kabla hawajakutekelezea mahitaji yako, wanataka kwanza watumie mwili wangu. Inakera sana lakini sijawahi kutoa na ninashinda vishawishi,” Neema.