BEYONCE AJIFUNGUA MTOTO WA "KIKE"
JAMII 12:48 AM
HABARI zinadai kuwa mwanamuziki Beyonce ametimiza ndoto zake kwa kujifungua mtoto wa kike.
Usiku wa juzi ulikuwa usiku wa kihistoria kwa mwanamuziki huyu kwani ndo usiku ambao Beyonce alijifungua.
Habari zaidi zinasema kuwa Jay Z alionekana mtu mwenye furaha siku nzima ya juzi huku akihaha kwa kufanya maandalizi ya kumpokea mtoto wake huyo.
Baada ya kujifungua Beyonce alimpatia jina la Blue Ivy Carter






