DIAMOND AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIEZI 6 JELA.....


Yametimia MSANII nyota wa muziki wa Kizazi kipya Diamond na wenzake wamekubali kosa la kumshambulia mmiliki wa mtandao huu Bw.Francis Godwin na kuhukumiwa kwenda jela MIEZI 6 Kila mmoja ama kulipa faini shilingi 50,000 kwa Kila mmoja ikiwa ni Pamoja na kulipa sh. 30,000 kwa Godwin.

Watuhumiwa wamelipa faini japo Godwin  hajapokea fedha hiyo na kukusudia kukata rufaa katika mahakama ya juu zaidi. Imeandikwa na Misanjo Liviga Mlalahoi

Posted by Bigie on 4:20 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.