WAREMBO WAFANYA SHINDANO LA KUPIGA "PICHA CHAFU"


Warembo kadhaa wakiongozwa na masistaduu wanaouza nyago kwenye nyimbo za wanamuziki wa Bongo Fleva , wanadaiwa kufanya shindano la aibu kwa kukaa nusu utupu hadharani na kujihusisha na vitendo haramu vya kisagaji.

Kwa mujibu wa chanzo chetu,  warembo hao walinaswa wakifanya uchafu wao huo eneo la wazi katika hoteli moja maarufu iliyopo  jijini Dar es Salaam hivi karibuni na kusababisha watu waliowashuhudia kupigwa na butwaa.

“Kusema kweli ilikuwa ni aibu ya mwaka kwani walikuwa wakitazama picha chafu kwenye jarida la Marekani na kushindana kupiga picha za aina hiyo.

“Kuna wengine walikwenda mbali zaidi akiwemo Mshiriki wa Miss Tanzania 2011/12, Husna Maulid (pichani) ambaye hakuwa na soni hata tone,” kilisema chanzo chetu.

Husna na Gloria John ‘Sinyorita’ walitafutwa kama wahusika wakuu ili kupata undani wa tukio hilo ambapo kila mmoja alijitetea kivyake.

“Jamani mkiandika hiyo habari mama yangu atakufa kwa presha kwa sababu anaumwa,” alisema Husna.

Kwa upande wake Sinyorita alifunguka: “Kusema kweli siku hiyo tulikuwa tumelewa,"

Posted by Bigie on 4:47 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.