MWANACHUO ATOA VIDEO YA "NUSU UCHI" HUKU AKIKAATA MAUNO MITHILI YA SHAKIRA...
JAMII 4:55 PM
Matukio ya ajabu yameendelea kuwakabili baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu hapa nchini....
Wapekuzi wa mtandao huu wameendelea kunasa matukio mengi machafu yanayofanywa ndani ya hosteli za wanafunzi hao ambapo msichana mmoja anayesoma chuo kimoja mkoani Dodoma alifumwa akirekodi wimbo wa video ya Shakira huku akiwa amejifunga kinguo kiunoni na kuliacha tumbo,matiti na sehemu nyingine ya mwili wake ikiwa wazi.
Tukio hilo la aina yake lilitokea ndani ya hosteli yake na kushuhudiwa na kundi kubwa la wenzake waliokuwa wakimshangilia ikiwa n ishara ya kumuunga mkono kwa kile alichokuwa anafanya.
Kama haitoshi,video hiyo iliyokuwa imehifadhiwa ilianza kusambazwa kwa kasi siku za hivi karibuni kupitia bluetooth za simu,kompyuta na flash na hatimaye kuzagaa kila mahali.
Data za kuaminika zinaonesha video ya tukio zima la mrembo huyo aliyekubali "KUREKODIWA" mwenyewe kwa hiari yake huku akiwa nusu uchi.Hivi sasa imekuwa ni mila na desturi kwa wanafunzi wengi kuiga tamaduni chafu za nje na hatimaye kutumia simu zao na wakati mwingine kamera na laptop kurekodi uchafu waufanyao ndani ya hosteli zao.
Hata hivyo, ripoti ya uchunguzi wetu haikufanikiwa kulitambua jina halisi ya mwanafunzi huyo , isipokuwa ilifuma picha na video ya mwanafunzi huyo akiwa ndani ya majengo ya umma (hosteli) na tena mbele ya wenzake.
Hii ndo video yenyewe,jionee na utupe maoni yako.