KUTOKA TWITTER: AY FA & GK WAINGIA STUDIO, JIDE AZUNGUMZIA WANAOTAKA KOLABO NAE, FID Q NA SAJUKI.

Grazy GK, FA & AY.
May 2 2012 Crazy GK na members wa zamani wa EAST COAST Mwana FA na AY waliingia studio MJ Records wakiwa na producer Marco Chali kurekodi track ambapo Ay alipofunguka amesema ni kazi ya pamoja na kuna mambo mengine makubwa yanakuja ya wao pamoja.


Ay amethibitisha kwamba ni zaidi ya miaka sita au saba kwa sasa toka waache kufanya kazi pamoja kama East Coast Team na waliperform pamoja mara ya mwisho mwaka 2008.
Crazy GK hajawa tayari bado kuzungumza kwa kufanya intervie popote 

.
.
.
.

Posted by Bigie on 6:19 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.