MALALAMIKO YA WABONGO WAISHIO ZANZIBAR.


Watanzaniabara waishio Zanzibar wamelalamika tena kwamba wanasumbuliwa na kufanyiwa fujo na wazanzibari wanaolalamika kwamba wabara wanawaletea nuksi, wanafanya wanakua masikini, wanawaibia na hawautaki muungano.


Mmoja kati ya watanzania ambao wamezishuhudia hizo fujo kwa siku kadhaa mfululizo amesema “tangu siku ya muungano kulikua na vuguvugu kwamba watu watafanya fujo kwa sababu hawataki muungano lakini sasa hivi hali ndio imekua mbaya zaidi yani ukienda sokoni tu pale darajani ambako ndio kama mjini centre, wanatudhihaki yani ile dhihaka ambayo tunafanyiwa kiukweli ni jambo la kusikitisha sana”

Posted by Bigie on 6:41 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.