MAANDALIZI YA KUPOKEA MWENGE WA UHURU YAPAMBA MOTO UWANJA WA SOKOINE, JIJINI MBEYA

 Vijana wakifanya mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya Mwenge wa Uhuru ndani ya Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya leo.
 Kikosi cha askari Magereza kikijifua tayari kuupokea Mwenge wa Uhuru.
 Watoto nao wakijiandaa kwa ajili ya kuupokea Mwenge wa Uhuru jijini Mbeya.
Maandalizi yakiendelea.
Mazoezi yakiwa yamepamba moto viwanjani hapo.
 Mafundi nao wakiwa mzigoni.

Posted by Bigie on 8:55 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.