MAANDALIZI YA MKUTANO WA AFDB YAENDELEA JIJINI ARUSHA
habari za kitaifa 8:06 PM
MWENYEKITI WA KAMATI YA MAANDALIZI YA MKUTANO WA AFDB AMBAO UNATARAJIWA KUFUNGULIWA SIKU YA JUMATATU JIJINI ARUSHA,BW NGOSHA MAGONYA AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA MKUTANO HUO.KATIKA MKUTANO HUO NA WAANDISHI WA HABARI,MWENYEKITI HUYO AMESEMA KUWA MKUTANO HUO UTATUMIA GARAMA YA SHILINGI BILIONI 12 AMBAZO ZITAENDA SANJARI NA UJENZI NA UKARABATI WA KITUO CHA KIMATAIFA CHA MIKUTANO AICC.

BAADHI YA WANAKAMATI WA MKUTANO HUO WAKIJADILIANA MAMBO MBALI MBALI.PICHA NA MERY AYO WA GLOBU YA JAMII,ARUSHA.
