WAJASILIAMALI 86 walamba zaidi ya milioni 250 arusha
habari za kitaifa 8:04 PM
Wajasimali pamoja na wadau wa mpango wa Fanikiwa kibiashara wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kubadhiwa kwa mfano wa hundi yenye jumla kiasi cha zaidi ya milioni 250 ambapo wajasimali hao ndio walioweza kufikia malengo yao chini ya mpango huo ambao upo chini ya sekta binafsi hapa nchini (TPSF),katika hafla fupi iliyofanyika janaJijini Arusha.
Mfano wa hundi ambayo wamepewa wajasiamali hao ambao wapo 86 jijini Arusha.
