AMINI NA LINAH WAMALIZA TOFAUTI ZAO......WADODOSAJI WANADAI KUWA HUENDA WAKARUDIANA
amini, BONGO FLEVA, habari za kitaifa, linah 2:22 AM
Inakupa picha gani pale unaposikia wale waliokuwa wapenzi kukutana na kufanya collabo kwenye siku ya birthday ya mmoja wao? Jana ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya Amini ambayo aliamua kuitumia kurekodi wimbo aliomshirikisha ex wake Linah!
Kutokana na kitendo hicho maswali mengi yameanza kuzunguka vichwani mwetu kuwa wapenzi hawa wa zamani wamerudiana ama ni marafiki tu? Wimbo umerekodiwa katika studio za producer C9.









