"NAMPENDA AMINI KAMA RAFIKI YANGU LAKINI HATUNA UHUSIANO WOWOTE WA MAPENZI"....LINAHNA UHSIANO
Posted by Bigie amini, BONGO FLEVA, habari za kitaifa, linah 2:59 AMSiku za hivi karibuni Amini na Linah ambao wamewahi kuwa wapenzi na hatimaye kuachana, wamekuwa karibu mno kiasi cha watu kuanza kuulizwa maswali kama wamerudiana tena.
Leo November 15 wanaachia wimbo wao mpya waliofanya pamoja na ambao waliurekodi siku ya kuzaliwa ya Amini October 30.
Katika fainali za BSS zilizofanyika Ijumaa iliyopita,Amini na Linah waliimba pamoja na kushangaliwa mno kutokana na jinsi walivyokuwa wakiimba kama mtu na mpenzi wake.
Ukweli ni upi? Wamerudiana ama ni marafiki tu? Tumewatafuta na kufanya nao mahojiano mahsusi ili kuyarusha leo siku wanayoachia wimbo wao ili wauseme ukweli.
Katika mahojiano haya Linah ameanza kwa kusema kuwa lengo la wao kufanya wimbo wa pamoja ni kukata kile anachokisema ‘kilimilimi’ cha watu kuwa yeye na Amini hawazungumzi tena baada ya kuachana. “Kulikuwa na maneno mengi sana kwamba mimi na Amini hatuelewani, hatupatani, hatuna mawasiliano mazuri,” anasema Linah.
“Lengo kubwa la sisi kufanya hivyo vitu kwa pamoja ni kuwadhihirishia kuwa bado tunapendana (anacheka na kumuuliza Amini) Kwani ni Uongo? Amini anajibu, “Hakika unenalo ni sahihi”. Linah anaendelea, “Hakuna ukweli wowote kuwa tumerudiana au lah! Sababu kila mtu anafanya mambo yake na tunafanya kazi kama kawaida japokuwa upendo bado uko pale pale.”
“Tutazidi kuendelea kuwepo kwasababu hatukugombana, hatukukorofishana, hatujawahi kutukanana hata siku moja mawasialiano yako vizuri tu, “anasema Amini.
Kuhusu walivyojisikia wakati wakifanya wimbo pamoja
Amini: Ilikuwa ni furaha kubwa kwa mimi kufanya kazi na Linah kwasababu nilikuwa na ndoto ya kufanya kazi na Linah tangu siku nyingi sana.
Linah: Nilikuwa na furaha tofauti kwanza nimejiona special yaani siku ambayo tunafanya wimbo ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwake kwahiyo ilikuwa ni siku maalum kwahiyo lazima nijione special kwamba ‘okay kumbe bado nina umuhimu!
Usikilize wimbo waliofanya pamoja hapa:
Download Here
AMINI NA LINAH WAMALIZA TOFAUTI ZAO......WADODOSAJI WANADAI KUWA HUENDA WAKARUDIANA
Posted by Bigie amini, BONGO FLEVA, habari za kitaifa, linah 2:22 AMInakupa picha gani pale unaposikia wale waliokuwa wapenzi kukutana na kufanya collabo kwenye siku ya birthday ya mmoja wao? Jana ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya Amini ambayo aliamua kuitumia kurekodi wimbo aliomshirikisha ex wake Linah!
Kutokana na kitendo hicho maswali mengi yameanza kuzunguka vichwani mwetu kuwa wapenzi hawa wa zamani wamerudiana ama ni marafiki tu? Wimbo umerekodiwa katika studio za producer C9.
"SIJAWAHI KUFA NA KUFULIWA BALI YALIKUWA NI MAJINI TU YAKINIKABA"....LINAH
Posted by Bigie BONGO FLEVA, habari za kitaifa, linah, picha za utupu 12:54 AMEstelina Sanga ‘Linah’.
MSANII wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Estelina Sanga ‘Linah’, amekuja juu akijibu madai kwamba, aliwahi kufa na kufufuliwa na Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kwa kumfanyia maombi.
Akizungumza na mwandishi wetu, Linah alisema hajawahi kukumbwa na tukio hilo zaidi ya kusumbuliwa na ugonjwa wa kuzimia mara kwa mara na kuponywa kwa njia ya maombi na Gwajima.
“Kwenye maisha yangu sijawahi kufa na kufufuka, kama umesikia hivyo basi hayo yalikuwa ni maneno tu, hapo mwanzo nilikuwa na kitu kama masheteni yalikuwa yakinikaba na kunifanya nipoteze fahamu mpaka nilipoombewa na Gwajima,” alisema Linah.
" MUZIKI UMENITENGA NA WAZAZI WANGU"....LINAH
Posted by Bigie BONGO FLEVA, habari za kitaifa, linah 4:43 AM
KIMWANA ambaye hivi sasa yupo kwenye mahusiano na jamaa ambaye anayeishi nchini Marekani, Linah Sanga, amedai kuwa huwa anapoenda nyumbani kwa wazazi wake huwa navaa nguo ndefu tena za kilokole zaidi ili asije kuwaudhi wazazi wake ambao wamemkuza katika maisha hayo.
Msanii huyo anapenda kuishi kizungu baada ya kuigia kwenye muziki, ingawa anadai kuwa hawezi kusahau maisha ya kidini aliyokuwa anaishi awali ambayo yalikuwa yanamfanya avae nguo za heshima tofauti na sasa.
Linah alidai kuwa tangu alipoachana na wazazi wake maisha yake yamekuwa tofauti kwani muziki kwa upande fulani umebandilisha maisha yake, kuanzia kwenye mavazi tabia na hata lifestyle.
“Napozungumza tabia haimanishi nimekuwa muhuni hapana, bali awali nilikuwa sijuani na watu maarufu lakini sasa nimekuwa nao karibu na kuna baadhi ya vitabia nimekuwa navyo lakini si kwa ubaya,” alidai na kuongeza
"Na ninapoenda kuwaona wazazi hunilazimu nivae kilokole maana sipendi kuwakwaza"
Msanii huyo aliongeza kuwa wazazi wake wamekuwa wakimsihi sana kuvaa nguo zile zile za zamani lakini haoni kama zina nafasi kwa sasa kutokana na career aliyoichagua.

WASANII WA BONGO WALIVYOIPAMBA SERENGETI FIESTA 2012
Posted by Bigie BONGO FLEVA, diamond, habari za kitaifa, linah, OMMY DIMPOZ, SHETTA, WANAUME FAMILY 8:42 PM"BABA HATAKI NIVAE NUSU UCHI, NA MIMI SIWEZI KUVAA GAUNI UTADHANI NIKO KANISANI"....LINAH
Posted by Bigie habari za kitaifa, linah 5:50 AMNamkariri Linah akisema “nimejitahidi sana kuwaelezea wazazi wangu wanielewe litakapotokea tatizo lolote itakua ni bahati mbaya tu lakini sio kwa makusudi, baba anaona pia kwenye magazeti huwa navaa hivi najitahidi kumwambia hivyo ni vitu vya bahati mbaya huwa vinatokea na mimi kama msanii ndio maana tunakula tunaishi lakini ndio kazi”
Mbali na hayo Linah kasema “nyimbo zangu baba anazisikiliza na anazipenda na anakubali ninaimba kitu ambacho kipo, ila ubishi mkubwa kati yangu na yeye ni mavazi, kuna show na show.. siwezi kwenda kufanya show ufukweni alafu nimevaa magauni, show nyingine tunatakiwa kubang siwezi kuvaa migauni kama niko kanisani”
."DIAMOND ALITUSHIKA MATITI KWA BAHATI MBAYA".......RECHO
Posted by Bigie diamond, habari za kitaifa, linah, picha za utupu, recho 4:01 PM
Baada ya mtandao huu kuvujisha picha chafu ya Linah,Recho na Diamond, hatimaye wasanii hawa wameanza kufunguka mmoja mmoja juu ya ukweli wa picha hiyo.....
Kupitia simu ya kiganjani, mpekuzi wetu alifanikiwa kumdaka Recho ambaye alikuwa na haya ya kusema :
"Hiyo picha ni hali tu ya kawaida, na tulikuwa tunaogelea,na tulikua tunapiga picha ndio, so ni bahati mbaya tu diamond kutushika sisi vile. Alikua anajiweka sawa tu sema mpiga picha ndo aliwahi kupiga, bahati mbaya tu ndio mtu akaziweka kwenye bbm ndio ikafika huko.
Tulikua sehemu to have fan tu, tunaogelea so nikitu ambacho hata mwenyewe sijakipenda kwasababu si tumefanya vile kwa sababu yetu wenyewe ila mwingine anachukua na kuanza kusambaza sio vizuri"alisema recho
Tunasubiri na wengine nao wafunguke.......Nina uhakika wengine watasema "Tulikuwa tumelewa tu jamani"
PICHA YA DIAMOND AKICHEZEA MATITI YA LINAH NA RECHO
Posted by Bigie diamond, habari za kitaifa, linah, recho 4:47 PM"KIMBELEMBELE INAELEZA WAZI JINSI NILIVYOUMIZWA KWA KUMPENDA STAA".....AMINI
Posted by Bigie amini, habari za kitaifa, linah 3:05 PMMSANII anayefanya vizuri kwenye muziki wa bongo fleva kutokana na nyimbo zake za mapenzi Amini ameuambia mtandao huu kuwa ngoma mpya ya ‘Kimbelembele’ , inazungumzia namna alivyoumizwa na mahusiano hasa yale ya kutoka na mwenye jina na kuonekana yeye ni kimbelembele.
Ngoma hiyo kinazungumzia namna alivyoanza mapenzi pindi alipoingia kwenye tasnia ya muziki, ambapo baadhi ya mistari inasema kuwa “Wiki ya kwanza nilimpenda mwenye jina na nilipomuita jina lake alikataa na wiki nyingine nikampenda mwenye jina ’shida’ na kulipa luku ikawa shida” ni moja ya ujume mzito unaopatikana ndani ya ngoma hiyo.
Kutokana na maneno hayo wimbo huo unaonesha wazi kuwa wiki ya kwanza alikuwa na mahusiano na msanii mwenzake ‘Linah’ na walikuja kuachana baada ya mwanadada huyo kujiona ni staa ambapo hali ilikuja kujitokeza kwa mara ya pili baada ya kuwa katika mahusiano na mtoto ambaye kwao kulikuwa na matizo makubwa naye hakudumu naye.

Lakini kama wadau wa muziki huu wanakumbuka moja ya hits za mwanadada Linah ni ‘Angalau’, ambayo inazungumzia mapenzi kama haya, ambapo nayo inasema angalau sasa nina furaha kwani pindi alipokuwa na Amini alikuwa hana furaha yoyote katika mapenzi kitu ambacho naye ameamua kujibu mapigo.
Amini alisema kuwa ngoma hiyo anaamini itatoa ujumbe kwa wale waliyomtenda ingawa kwa upande wake hana tatizo nao hivyo anawaomba radhi kama itawagusa sana au kama watajisikia vibaya kwani alichokiimba ndicho kilichotokea katika mahusiano yake ya mapenzi.
Hata hivyo Amini aliongeza kuwa anajuta kuwa na kimbelembele cha kutaka kutoka na staa kwani hiyo ndiyo sababu kubwa iliyomfanya kutoa ngoma hiyo na aliyemuandika anajulikana kwani awali alimpenda lakini kutokana na kusifiwa na watu anauwezo mkubwa wa kuimba na mrembo akajiona malkia.

.
Featured Post
NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne ambayo ni Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...