IMEVUJA: MASTAA WAMEKUWA NA TABIA YA KUWAHONGA WAANDISHI ILI WAANDIKWE MAGAZETINI
BONGO MOVIE, habari za kitaifa, picha za utupu 12:32 PM

Utakuta mtu akienda chooni anajipiga picha na kumuhonga mwandishi amtoe gazetini......
Hivi nyie mastaa mna mtazamo gani? au mnajitangaza mpate soko haswa ladiez kama wema sepetu, jackline wolper, shilole jini kabula n.k

Utakuta mtu bila ya aibu anamwita mwandishi wa habari anamlipa hela kidogo anapachua sidiria au kichupi then anamwambia mwandishi nipige picha ukatoe gazetini.....Hii ni aibu

Mnatutia aibu jamani navichupi vyenu na visidiria vya mafungu.....Hivi ninyi hamna wazazi au ndugu au hamkufundwa huko kwenu?......Badilikieni jamani





