MWIZI WA MBUZI APIGWA NA KUTEMBEZWA UCHI BARABARANI


Sakata hilo limetokea huko Nchini NIGERIA ambapo bwana mmoja mbaye jina lake halikuweza kutambulika mara moja alikamatwa na wananchi wenye Hasira kali kwa tuhuma za  Wizi wa mbuzi.

.Tukio hilo lilichukua sura mpya  baada ya wananchi hao kumvua nguo zote  huku wakmshamblia kwa mawe na viboko.......

Juhudi za polisi zilifanikiwa kunusuru uhai wa amaa huyo....



Posted by Bigie on 9:35 PM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.