AIBU: MAVAZI YA NUSU UCHI YAMFANYA AVULIWE NGUO HADHARANI......


Japokuwa  hii  si haki, lakini kwa namna mojaau nyingine  hili ni fundisho tosha kwa akina dada ambao wanatamani hata  kutembea uchi......

Hatupingani  na  mavazi ya  kileo, lakini kuna  mavazi mengine  ni kero.Inashangaza kuona mdada anaamua kutoka na  night dress au kinguo  ambacho  kinaacha  asilimia  90 nje.....!!!  Huko ni kuwatega wanaume......

Mshuhudie huyu dada  katika  hii  video
 

Posted by Bigie on 3:55 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.