" HAKUNA MWANAUME MWENYE UBAVU WA KUNIACHA....."DIDA


MTANGAZAJI wa Redio Times FM, ya jijini Dar, Khadija Shaibu ‘Dida’ amefunguka kuwa, hajawahi kuachwa, mara nyingi huwaacha wanaume

Akiongea  na mwandishi , Dida alisisitiza kuwa katika ndoa mbili alizopitia alishtuka mapema baada ya kuona maelewano na waume zake yanakwenda mrama, fasta akabwaga manyanga.


“Mimi sijawahi kuachwa, huwa nawaacha, unajua miye ni mtu ninayependa amani muda wote na sitaki kusumbuliwa katika maisha yangu,”
alisema Dida.

Posted by Bigie on 3:55 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.