HII NDO VIDEO YA WIMBO WA "NATAKA KULEWA" WA MSANII DIAMOND
BONGO FLEVA, diamond, habari za kitaifa 7:56 AM
Finally, hii ndio video kamili ya wimbo wa Diamond Platnumz 'Nataka Kulewa', ambayo imetayarishwa na kusimamiwa na kampuni ya I-View Studios chini ya Raqey Mohamed. Itazame kisha toa comments zako kwa jinsi utakavyoipokea.






