PAJA LA IRENE UWOYA LAANIKWA NJE......KWELI WOKOVU NI KIPAJI


SIKU chache baada ya kutangaza kuokoka, msanii wa filamu Bongo, Irene Uwoya amewaacha watu  midomo wazi baada ya kutinga kivazi kilichoacha wazi maungo yake nyeti.

Tukio hilo lilijiri Jumatatu iliyopita katika Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni, Dar kwenye mkutano wa wasanii wa filamu na komedi ambapo licha ya kwamba ilikuwa mchana,Uwoya alitinga kivazi hicho chepesi ambacho kilisababisha sehemu nyeti kuonekana.
 
Hata hivyo, msanii huyo hakuonekana kuwa na wasiwasi kwani  alikuwa akibadilisha mikao na kuacha nje sehemu yote ya mapaja hali iliyosababisha baadhi ya wasanii kuguna huku  wakijiuliza ni kwa nini mwanadada huyo aliamua kuvaa nguo ya aina hiyo mchana kweupe.

Posted by Bigie on 1:34 AM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.