AIBU: VIDEO YA MWANAMKE ALIYEFUMANIWA NA MUME WA MTU HUKU AKIWA NA HIRIZI KIBAO



Mume  wa  mtu  ni  sumu......Mke wa mtu  ni  sumu.....Hii  ni kauli  mbiu yetu.

Kwa muda mrefu  tumekuwa  tukiripoti juu  ya matukio mbali mbali  ya  fumani.Nia yetu  ni kuikumbusha  jamii  kuwa  matukio  hayo  ni  ya aibu  na yanapingana kabisa  na  maadili  yetu...

Japo  tukio ni la muda mrefu kidogo,  lakini tumeona si vibaya tukaliweka tena  ili jamii iendelee  kujifunza.....

Hii ni video  yenyewe ya mwanamke  aliyenaswa  akivunja amri  ya  sita  na mume  wa mtu....Bofya  "play"  kuisikiliza

Posted by Bigie on 10:52 PM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.