ASKARI ALIYEPIGA PICHA NA LEMA ATOROKA JESHINI

JESHI la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesema askari anayedaiwa kuwa jeshi hilo aliyepiga picha na Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema ametoroka.  Msemaji wa JWTZ, Kanali Kapambala...

BABY CANDY, SKAINA NA JACK CHUZ WAGOMBEA PENZI LA TIMBULO....

MASTAA wasichana wa mjini, Jacqueline Pentzel ‘Jack Chuz, Skyner Ally ‘Skaina’ na Baby Candy wamejikuta wakirushiana matusi kupitia mtandao wa kijamii wa BBM kisa kikiwa ni msanii wa...

HUU NDO UHASAMA NA CHUKI BINAFSI ZA WASANII WETU KWA KIPINDI CHA MWAKA 2012

TID vs Ali KibaBeef hii ilianza baada ya Ali Kiba na familia yake kumshutumu TID kuwa alikuwa amepanga njama za kumuua Ali Kiba. Tuhuma hizo zilipelekea TID kupelekwa...

RIPOTI FUPI YA MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI- TANZANIA

Matokeo rasmi ya sensa yametoka. Idadi ya Watanzania ni milioni arobaini na nne nukta tisa. (44.9million). Matokeo hayo yametangazwa leo katika viwanja vya Mnazimmoja jijini Dar es Salaam...

RIHANNA AUNGANA NA CHRISS BROWN ABDIJAN KWA AJILI YA KUSHUSHA BURUDANI KATIKA TUZO ZA KORA

Hii ni video  ya  chriss brown na  Rihanna  wakiwasili  Abdijan kwa  ajili  ya kutumbuiza  katika  tuzo  hizo.....Wasanii wa Tanzania waliotajwa kuwania tuzo hizo ni pamoja na Ali Kiba,...

VIDEO YA DIAMOND AKICHEZA " MAKE IT RAIN" YA FAT JOE

...

LEO SAA SITA KAMILI USIKU MITAMBO YOTE YA ANALOJIA ITAZIMWA RASIMI JIJINI DAR ES SALAAM

MKOA wa Dar es Salaam leo saa 6 usiku unakuwa wa kwanza kuzimiwa mitambo ya analojia ya utangazaji wa televisheni kwa ajili ya kupokea mfumo mpya wa digitali....

ROMA AAMUA KUUZA WIMBO WAKE MPYA KWA SH. 3000 HUKU NIKKI WA PILI NAYE AKITUMIA M-PESA KUIUZA DVD YAKE

Wasanii wanazidi kuwaza kila siku jinsi ya kukwepa kuibiwa kazi zao ambazo ni jasho lao wanalotoa booth baada ya kusumbua akili zao na kufanyia kazi vyema mtaji wa...

MAGAZETI YA LEO JUMATATU

........................ ...

VICENT KIGOSI AWAPA MAKAVU WABAYA WAKE.....

INAWEZEKANA ukawa unafanya kazi lakini baadhi ya watu wakawa wanaziponda kwa chuki zao, ambapo msanii anayefanya poa bongo kwenye tasnia ya filamu Vicent Kigosi ‘Ray’, amesema kuwa wapo...

“SCENES ZA MAPENZI KWENYE FILAMU ZINAWAUMBUA WASANII WANAONUKA MIDOMO” – IRENE UWOYA

MSANII wa filamu anayejichukulia umaarufu bongo Irene Uwoya, amedai kuwa kuna baadhi ya wasanii wenye majina makubwa wanapenda kucheza filamu za mapenzi na uchezeana huku wakishindwa kuelewa kuwa wananuka midono...

ZANZIBAR YAENDELEA NA MAANDALIZI YA KUHAMIA KATIKA MFUMO WA DIGITALI

 Waziri wa Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo Saidi Ali Mbarouk akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali juu ya suala zima la kuuingia katika mfumo wa Digitali huko...

"NAWAPENDA MARAFIKI WA KIUME MAANA HAWANA MAJUNGU KAMA WANAWAKE".....QUEEN DARLEEN

STAA anayefanya poa na ngoma ‘Kokoro’, Queen Darleen, ameuambia mtandao huu  kuwa anajisikia raha kuwa na marafiki wengi wa kiume kuliko wanawake, huku akiamini kuwa tabia za baadhi ya wanawake...

Breaking news

.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.