MZEE MAJUTO AJIPANGA KUTOKA NA "PATASHIKA" AMBAYO NI ZAIDI YA KOMEDI
Posted by Bigie BONGO MOVIE, habari za kitaifa, MAJUTO 2:21 AMMCHEKESHAJI mkongwe, Amri Athuman ‘King Majuto’ hivi karibuni ataanza kuonekana kwenye kazi mpya iitwayo “Patashika”
Katika kazi hiyo iliyojaa vichekesho vya kuvunja mbavu, Majuto atacheza kama baba wa familia mwenye vibweka vingi vya kustaajabisha, vinavyowaacha watu hoi kila siku mtaani kwao.
“Nategemea kufanya kitu cha tofauti ili mashabiki waweze kujua mimi ninaweza kuigiza ndiyo maana ninaigiza kama baba wa vibweka kwahiyo wadau wangu wategemee vimbwenga vya kustajabisha” alisema gwiji huyo wakuchekesha.
Mbali ya Majuto katika picha hiyo pia inawashirikisha nyota wengine ambao ni wakonnge kwenye Nyanja za uchekeshaji wakiwemo Pembe, Senga, Kingwendu, Full Tank na Difenda.
Kazi hiyo imepangwa kuingia sokoni hivi karibuni, ambako itapatikana mikoa yote hapa nchini, kwenye VCD pamoja na DVD
MABINTI WA VIDEO YA TYGA WAMSHITAKI KWA KUZIANIKA CHUCHU ZAO KINYUME NA MAKUBALIANO
Posted by Bigie habari za kitaifa, picha za utupu 12:19 AMWarembo watatu wanaonekana kwenye video ya ngoma ya Tyga’s “Make it Nsty” wanadai ‘chuchu’ zao zimeonekana bila ruhusa yao.
Alissa Rae Ross, Azia Davis, na Elizabeth Velasquez wamefungua mashtaka kwa kudai kuwa walipofanya usaili kwaajili ya video hiyo kulikuwa na kipengele kisemacho “There will be NO ndity involved in the video, and all the girls will be tastefully shot.”
Katika mkataba wao wasichana hao wanadai kuambiwa kuwa “drty” version ya video hiyo isingetoka lakini ikatoka.
Wasichana hao wanashtaki kwa kukiuka mkataba, kuingiliwa usiri wao na madai mengine.
"BABA YANGU ALIKUWA MVUTA BANGI NA AMEWAHI CHOMA MOTO NYUMBA YETU ILI AMUUE MAMA"....NICK MINAJ
Posted by Bigie habari za kitaifa, NICK MINAJ 11:40 PMKila mtu ambae amefanikiwa kwa kupanda mwenyewe kutoka chini kwenda juu lazima anasimulizi la maisha yake ambalo lina mabonde na milima ya kushangaza kidogo, lakini inavuta usikivu na hisia sana pale msichana mrembo aliyefanikiwa kuwa kati ya list ya juu duniani kimuziki akiwa na simulizi la maisha yake linalotisha ama kuogofya tena akitishwa na yule aliyemzaa.
Jina lake la kuzaliwa ni Onika Tanya Maraj a.k.a Nicki Minaj, first lady wa Young Money mwenye umri wa miaka 30.
Nicki Minaj ali-experience maisha ya kusikitisha hasa katika familia yake mwenyewe iliyomlea, lakini pia mikiki mikiki toka kwa dingi mkorofi ilikuwa balaaa.
Baba yake mzazi alikuwa mtumiaji wa madawa ya kulevya kupitiliza, kiasi cha kuwa Teja ajabu, lakini pia alikuwa mkorofi na mkatili sana kitu kilichopelekea wanafamilia hao kuishi kwa uoga na mashaka.
Ilifikia hatua baba Nicki Minaj aliwasha moto kwenye nyumba ya familia hiyo akijaribu kumuua mama yake Nicki Minaj, jaribio ambalo halikufanikiwa.
Lakini Nicki Minaj mwenyewe anasema alijaribu sana kumsaidia mama yake kadri anavyoweza na alitaka awe shupavu sana lakini mama yake hakuweza, Nicki alijiwekea malengo ya kuwa mwenye mafanikio baada ya kufanya kazi ili amsaidie mama yake.
“Siku zote nilikuwa na hiki kitu cha kuwawezeshesha wanawake kwenye akili yangu”, aliliambia jarida la Details, “kwa sababu nilitaka mama yangu awe shupavu, na hakuweza. Niliwaza, kama ntakuwa mwenye mafanikio, Naweza kubadili maisha yake.” Huyo ni Nicki Minaj.
Nicki Minaj alianza kuandika mashairi akiwa na umri wa miaka 12 tu, na baada ya kumaliza La Guardia High School, ambayo inatoa elimu ya sanaa na Muziki aliwaza moja kwa moja kuingia kwenye biashara ya muziki. Alianzia chini na alianza kwa kufanya back up kwa rapperz wa jiji la New York.
Muda mfupi baadae alianza kuandika mashairi yake mwenyewe, na baadae akakutana na Lil Wayne aliyegundua kipaji chake ni silaha ya biashara ya muziki na kumsaini Young Money, ambapo alimsaidia kuifanya mixtape ya “Playtime is Over”, baada ya hapo akaishika dunia na michano yake na kuchukua tuzo kibao zenye heshima duniani, na kupata heshima pia hivi karibuni kuwa jaji wa shindano la kuimba la American Idol wakati album yake ya Pink Friday Roman Reloaded; Re-Up iko sokoni.
KESI YA LULU MICHAEL YASAJILIWA RASMI MAHAKAMA KUU
Posted by Bigie habari za kitaifa, LULU MICHAEL 11:32 PMKesi ya mauaji ya kutokukusudia inayomkabili msanii wa filamu nchini, Elizabeth Michael `Lulu’, imepokelewa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam na kusajiliwa kwa namba 125 ya mwaka 2012.
Kwa mujibu wa habari zilizopatikana mahakamani hapo, kesi hiyo imepokelewa kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na inasubiri kupangiwa Jaji na tarehe ya kuanza kusikilizwa.
Awali Lulu alikuwa akikabiliwa na mashitaka ya kumuua msanii mwenzake, Steven Kanumba, kwa kukusudia lakini baada ya upande wa mashitaka kukamilisha upelelezi alibadilishiwa mashitaka na kuwa kuua bila kukusudia.
Kesi hiyo ilifunguliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Augustina Mmbando, katika hatua za awali na Lulu hakuruhusiwa kujibu mashitaka yanayomkabili kwa kuwa Mahakama hiyo haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo.
Kwa mujibu wa sheria, kutokana na Lulu kushitakiwa kwa kosa la kuua bila kukusudia, anaweza kupata dhamana.
RIHANNA AJIACHIA TENA AKIWA MTUPU......
Posted by Bigie habari za kitaifa, picha za utupu 11:30 PMCATHERINE MASUMBIGANA NDIYE UNIQUE MODEL 2012
Posted by Bigie habari za kitaifa 9:53 PMSAKATA LA NAIBU WAZIRI WA ELIMU KUWA NA ELIMU FEKI PAMOJA NA JINA FEKI LACHUKUA SURA MPYA.....!!!
Posted by Bigie habari za kitaifa 6:32 AMNAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Bw. Philipo Mulugo, amesema yupo tayari kumthibitishia Mbunge wa Mbeya Mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Bw. Joseph Mbilinyi, maarufu 'Sugu', juu ya elimu aliyonayo kama alivyodai mbunge huyo.
Bw. Mulugo aliyasema hayo Dar es Salaam jana wakati akizungumza na Majira kuhusu madai ya Bw. Mbilinyi ambayo ameyatoa katika vyombo vya habari kuwa, Waziri huyo ana elimu ya kuunga unga na jina lake kamili ni Amim.
Alisema kauli ya Bw. Mbilinyi haina ukweli wowote bali yeye ni msomi na yupo tayari kuthibitisha ukweli huo kwa umma.
“Mimi na Bw. Mbilinyi tuna vilema vingi, akitaka tuumbuane yatabainika mengi hasa katika upande wake, namfahamu muda mrefu kwa sababu nimesoma naye shule moja, nafahamu mambo yake mengi lakini kutokana na hekima zangu sihitaji malumbano na yeye,” alisema Bw. Mulugo.
Alidai kumshangaa Bw. Mbilinyi, kuzungumzia jambo ambalo halifahamu lakini kwa kumsaidia ili asielendelee kuonekana mwanasiasa muongo, aitishe mkutano na waandishi wa habari na yeye atakuwa tayari kuthibitisha elimu yake kwa umma.
Bw. Mulugo aliongeza kuwa, ni kweli wakati anasoma alikuwa akitumia jina la Amim na baada ya kufika elimu ya juu alianza kutumia jina la Philipo ambalo ni la ukoo ambapo Bw. Mbilinyi kama angekuwa makini, angefuatilia kwenye ukoo wake ili kujua jina hilo linamuhusu au la.
Aliongeza kuwa, dhamira yake ni kuhakikisha kuwa Jimbo la Mbeya Mjini ambalo hivi sasa linashikiliwa na Bw. Mbilinyi, mwaka 2015 linarudi CCM na ukweli huo utathibitika katika uchaguzi.
“Mimi ni Waziri kutoka CCM na Mjumbe wa Halmashauri Kuu NEC, hivyo Bw. Mbilinyi, asifikiri kuzua maneno hayo yatanitisha hadi nishindwe kutekeleza sera za chama changu,” alisema.
Alisema ibara ya 5 ya Katiba ya CCM, inamwongoza kuhakikisha chama chake kinashinda uchaguzi wa dola wa ngazi zote pamoja na kulirudisha jimbo la Mbeya Mjini kutoka upinzani.
“Katika Uchaguzi Mkuu ujao, nitatumia nguvu zote kuhakikisha jimbo la Mbeya Mjini linarudi CCM, ninachoweza kumshauri Bw. Mbilinyi, ajifunze kutokana na makosa kwani ameanza kunitafuta siku nyingi lakini mimi sikuwa na muda wa kumjibu bali niliendelea kutekeleza majukumu niliyonayo,” alisema.
Alisema Mbunge huyo na chama chake walijibiwa na wananchi wa Saza katika mkutano wa CHADEMA uliofanyika katika Wilaya ya Chunya na kusahau kilichowapeleka ni kampeni hatimaye wakaanza kunadi elimu ya Mulugo badala yake waliambulia kufukuzwa.
Aliongeza kuwa, Bw. Mbilinyi alipaswa kulisema na hilo kama walifukuzwa na wananchi wa Saza ambao walimwambia wao, wanamfahamu viziri Bw. Mulugo na wamemsomesha wenyewe kwa pesa zao baada ya kuthibitika ni yatima.
Alisema wananchi hao walidai kuchoshwa na matusi ya Bw. Mbilinyi dhidi yake na kumtungia uongo lakini yeye hana
muda wa kulumbana naye bali atamjibu kwa ushahidi.
Kauli ya Bw. Mulugo imekuja siku chache baada ya Bw. Mbilinyi kudai kuwa, elimu ya Waziri huyo ni ya kuunga unga kwani alisoma naye Sekondari ya Mbeya Day, wakati huo akiitwa Amim si Philipo Mulugo hivyo kuanzia sasa ataendelea kumuita jina lake halisi na kusisitiza hana uwezo wa kumng'oa jimboni kwake.

TREY SONGZ AIKATAA PICHA INAYOONEKANA AKIMBUSU MWANAUME MWENZAKE....
Posted by Bigie habari za kitaifa, picha za utupu 4:26 AMMuimbaji wa R&B Trey Songz ameibuka na kukanusha kuwa si yeye aliyepiga picha iliyoenea mtandaoni akiwa anambusu mwanaume mwenzie.
Trey amekuwa akizushiwa kuwa shoga kwa muda mrefu lakini picha hiyo imewafanya wengi waamini kuwa ni kweli sio riziki.
Picha hiyo inaonekana ilichukuwa kwenye siti ya nyuma ya gari ikionesha mtu anayefanana na Trey akimbusu mwanaume.
Baada ya kuiona picha hiyo Trey alitumia Twitter kuandika:
T.I.D AMFANANISHA ALLY KIBA NA "MTU AMBAYE NI SHOGA"
Posted by Bigie BONGO FLEVA, habari za kitaifa, TID 12:18 AMKhalid Mohamed aka TID mara nyingi amekuwa akitumia mitandao ya kijamii kueleza hisia zake hasa kuhusiana na muziki.
Leo kupitia Facebook TID amekumbushia lile sakata la kudaiwa kupanga njama za kumuua mwanamuziki mwenzake, Ali Kiba na kumuuita ‘shoga’ yule aliyemzushia hivyo.
“Stupid Thing Ever Happened in Bongo Music Scene is this Homo mentioned me Trying to Kill Him while am only thinkin about this Girl…No Homo,let’s make Hits,” ameandika.
Aliongeza, “Can’t forgive weak people the whole family came into my house as if I ever had any arguments before nau wat……nobody kill them.”
>>>Aliyeitwa shoga ni Ally kiba.....Rejea hii sentensi:-
"Stupid Thing Ever Happened in Bongo Music Scene is this Homo mentioned me Trying to Kill Him "
SHOW YA D KNOB YAKUMBWA NA FUJO KUBWA ILIYOUA MTU MMOJA
Posted by Bigie habari za kitaifa 12:06 AMRapper aliyewahi kuhit na ngoma kibao ukiwemo ‘Sauti za Gharama’ D-Knob amesema katika show yake aliyoifanya siku ya Christmas palitokea fujo kubwa kiasi cha kudaiwa kusababisha kifo cha mtu mmoja.
Kupitia Facebook, D-Knob ameandika:
Juzi 25, december was having a show Ukumbi wa NJombe Green Park Kinyerezi huko. Response ilikuwa poa ila mwisho likatokea bonge moja la fujo.
Nashukuru mungu niliondoka salama but jana nimepewa habari kuwa kuna mtu alipoteza maisha na wengi kuumia, na kiukweli inanisikitisha.
Pole kwa waliofiwa na walioumia. My heart is with u all. Real sorry 4 what happened.Fujo Miyeyusho
HAYA NDO MADHARA YA KUTAFUTA UTAJIRI KWA WAGANGA WA KIENYEJI......YALIYOMKUTA HUYU MZEE HATA KAA ASAHAU
Posted by Bigie habari za kitaifa, picha za utupu 11:22 PMBora kufa masikitini kuliko kichapo cha namna hii alafu mwisho wa siku huambulii lolote...
Waganga wetu ni waongo.....Anakwambia uwe tajiri wakati yeye hata nyumba hana......
Anakwambia atamrudisha mpenzi wako aliyekimbia wakati yeye hata mke hana.......
POLE MZEE...JARIBU NA MSAADA WA MAOMBI MAANA KWA MUNGU HAKUNA MAKOFI
.
Featured Post
NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne ambayo ni Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...