Posted by Bigie
agness masogange,
habari za kitaifa
12:35 AM
HUKU akiwa hajui nini hatima ya kesi inayomkabili ya kunaswa na madawa ya kulevya nchini Afrika Kusini, Video Queen Agnes Gerald ‘Masogange’ amepata balaa jipyaKwa mujibu wa chanzo chetu makini ambacho kipo nchini humo, Masogange na mwenzake aliyekamatwa naye, Melisa Edward wamefutiwa dhamana hivyo wamerudi tena rumande.Habari zinadai kuwa, dhamana za wawili hao zimefutwa kufuatia kuhisiwa kwamba wana mpango wa kuondoka nchini huko kinyemela na kurejea Tanzania, jambo ambalo limetafsiriwa kama jaribio la kuikimbia kesi hiyo.
“Unajua huku Sauzi si kila mtu anawaonea huruma Masogange na Melisa kwa tatizo lililowapata, sasa utakuta maskani mtu anaropoka vitu vya ajabu pengine vya uongo bila kujua kuwa si kila mtu anayesikiliza atayaachia hapohapo, wengine ni ‘mainfoma’ wanayafikisha mbele.
“Hicho ndicho kilichomtokea Masogange, wakati baadhi ya watu wakiwa kwenye mchakato wa kumsaidia ili kujua jinsi gani kesi yake itakwenda haraka, wengine wanakwenda kuongea mambo ya ajabu kwa watu wao wanaowatuma kuwapelekea taarifa, eti kuna watu wanajipanga kuwatorosha, si sheria ikafuata mkondo wake.
“Hii inatupa wakati mgumu sisi tuliokuwa tumsaidie, mara kwa mara tunaitwa na kuhojiwa na jeshi la polisi. Ndiyo maana dhamana yao imefungwa, ukiangalia nini kilichosababisha ni maneno ya uongo yanayotokea maskani,” kilisema chanzo hicho ambacho kiliomba hifadhi ya jina lake.
Licha ya kukumbana na kesi ya madawa ya kulevya, Masogange aliendelea kutumbukiza picha zake kwenye mitandao ya kijamii na kuzielezea, lakini baada ya kufutiwa dhamana amekauka mitandaoni kwa picha za karibuni.
“Nyie si mnaona, siku hizi haposti tena picha zake mpya kama palepale katikati baada ya kukamatwa. Siku zile alikuwa nje kwa dhamana, sasa yupo rumande hawawezi kumwachia akacheza na simu,” kilisema chanzo.
Baada ya staa huyo kutiwa nguvuni Julai 5, mwaka huu, baadhi ya Watanzania waishio Bongo na kule Afrika Kusini walidaiwa kuchanga fedha kwa lengo la kumsaidia mrembo huyo lakini kufuatia kuvuja kwa taarifa za kufungwa kwa dhamana yake, wamekosa nguvu na kusikitikia kitendo hicho.
Inadaiwa kuwa, nchini Afrika Kusini mtu akikamatwa na ‘unga’ anaweza kuwa nje kwa dhamana wakati kesi yake ikiendelea kusikilizwa mahakamani, Tanzania mtu akinaswa na unga kesi inasikilizwa akiwa rumande
-GPL
Posted by Bigie
agness masogange,
habari za kitaifa
12:38 PM
Jeshi la Polisi litapeleka askari wake Afrika Kusini kuwahoji washiriki wa video za wasanii wa muziki wa Bongo fleva, Agnes Gerald ‘Masogange’ na mwenzake Melisa Edward waliokamatwa nchini humo na dawa za kulevya.
Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia Dawa za Kulevya, Godfrey Nzowa aliiambia Mwananchi kwa simu jana kuwa watawapeleka polisi kuwahoji na wanaamini wahusika watawaeleza wahusika wa mzigo huo.
Wasichana hao walikamatwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Oliver Tambo nchini Afrika Kusini wakitokea Tanzania wakiwa na kilo 150 za dawa za kulevya aina ya Crystal Methamphetamine.
“Tutawapeleka askari wetu kuwahoji, tumekwishaanza uchunguzi wa hili...wote watakaohusika katika hili tutawakamata, lakini tunakwenda polepole hatua kwa hatua kuhakikisha tunawanasa wahusika sahihi,” alisema Nzowa.
Naye Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, (JNIA), Moses Malaki alieleza kushangazwa na kiasi kikubwa kupitishwa kwenye uwanja huo licha ya kuwa wapo watu wenye dhamana ya kuangalia usalama.
“Sitaki kusema tutafanya nini, lakini ninachotaka kukwambia ni kwamba uchunguzi umeanza na suala zima tumewaachia polisi na sisi tutatoa ushirikiano kwa kila hatua watakayotutaka, lazima kukomesha hili.
“Tutaangalia nani walikuwa zamu siku hiyo,” alisema Malaki.
Posted by Bigie
agness masogange,
habari za kitaifa,
PICHA ZA UCHI
9:14 PM
VIDEO Queen maarufu Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ ambaye muda mwingi amekuwa akiishi Afrika Kusini ameelezea jinsi maisha ya Bongo yalivyomchosha huku usumbufu anaopata kutokana na makalio yake makubwa ikiwa moja ya sababu.
Akipiga stori mwandishi wetu, Masogange alisema umbile lake hilo limekuwa likimfanya akose amani anapokatiza mitaani, tofauti na Sauzi ambako wanawake wengi wamefungashia huku yeye akionekana ‘cha mtoto’.
“Muda mwingi niko Sauzi, Bongo miyeyusho na hili umbo langu nimekuwa nikisumbuliwa sana na wanaume lakini Sauzi hili langu la kawaida, wengi wamefungashia ile mbaya, kwa hiyo muda mwingi nitakuwa huko, huku nitakuwa nakuja na kuondoka,” alisema Masogange.
Posted by Bigie
agness masogange,
habari za kitaifa,
Jackline Wolper,
wema sepetu
4:23 AM
Jacqueline Wolper (kulia), akipokea cheti cha ushindi kutoka kwa DK. Cheni aliyekuwa jaji mkuu wa shindano hilo. Wolper akiwa ameshikiria cheti chake muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi. Dok. Cheni akiwa kwenye pozi na Wolper juu ya jukwaa. Msanii wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz akiwajibika jukwaani na mnenguaji wake.
Chidy Benz akikamua jukwaani hapo.
Omm Dipoz akizungumza na mashabiki zake jukwaani.Dogo Asley akiwajibika.
Awali jana mchana hawa ni baadhi ya watoto wakichezeshwa ukumbini hapo.
Watoto hawa wakijiandaa kushindanishwa moja ya mchezo wa kuzungucha rigi kiunoni jana mchana ukumbini hapo.
Mmoja wa watoto waliofika Dar Live mchana akikabidhiwa baiskeli baada ya kuibuka mshindi katika mchezo wa kuruka kamba.
Mchekeshaji maarufu Mtanga, akizungumza na mmoja wa watoto ndani ya Dar Live.
Sehemu ya umati uliyojitokeza ukumbini hapo.
MSANII wa chimbo la filamu Bongo, Jacqueline Wolper Masawe, usiku wa kuamkia leo ameibuka kidedea kwenye shindano lililokuwa likiwashirikisha mastaa wa kike Bongo la Ijumaa Sexiest Girl ndani ya Ukumbi wa Dar Live Mbagala jijini Dar es Salaam.
Wolper amejizolea heshima lukuki na kitita cha sh. milioni 2 ikiwemo na ofa ya kulipiwa saluni kujiremba kwa mwaka mzima. Usiku wa leo pia ndani ya ukumbi huo kulikuwa na burudani kibao kutoka kwa Ommy Dimpoz, Chidy Benz, Dogo Asley, TOT Taarab na michezo kibao ya watoto iliyosindikizwa na shindano la Mkali wa Mic.
Habari/Picha: Musa Mateja/GPL
Posted by Bigie
agness masogange,
BONGO MOVIE,
habari za kitaifa,
picha za utupu
12:26 AM
Agness masogange akijiwekea vidole matakoni....
Hatimaye mtandao huu umefanikiwa kuinasa vizuri video nzima ya uchafu wa agness masogange.......
Video hiyo chafu kabisa ambayo awali zilisambaa clip zake, inamuonesha mwanaume mmoja akimiliki wanawake wawili.........
Wakati Agness akifanya majonjo ya kukata mauno kwa mwanaume huyo, yule mwingine alikuwa akipakia msosi ili kujiweka sawa kwa tukio hilo........(ANGALIA PICHA YACHINI)
Ndani ya Video hiyo pia,Masogange anaonekana akizungusha makalio yake karibu kabisa na domo la mwanamke huyo hali inayoashiria vitendo vichafu vya usagaji........(PICHA ZA CHINI ZINAJIELEZA)
Agness akiendelea kumpagawisha yule mwanaume.....
Kama kawaida yake, dakika mbili mkono matakoni.....
Hatimaye walianza kuvunja amri ya sita.........
Mmoja baada ya mwingine walihudumiwa..........
Ni aibu kubwa kufanya mapenzi ya two in one......
Posted by Bigie
agness masogange,
habari za kitaifa,
picha za utupu
11:11 AM
Msanii waq Bongo movie anayeuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva , Agness Gerald a.k.a Masogange amefunguka kuwa huwa hawafagilii wanaume au masharobaro wanaomshobokea kwa sababu ya umbo lake linalodatisha wengi.
Akiongea na mwandishi wetu, mrembo huyo alifunguka kuwa mwanaume yeyote anayedai kudata na umbo lake ni mzushi na wala hana mapenzi ya dhati bali ni uroho wa ngono tu unaotokana na jinsi anavyoniona nilivyojaliwa.
“Mwanaume wa kweli anakupenda wewe mwenyewe jinsi ulivyo na si umbo lako ndiyo maana mimi siwafagilii kabisa wanaoshoboka kwa ajili ya umbo langu,” ali-talk Agness.
Posted by Bigie
agness masogange,
BONGO FLEVA,
BONGO MOVIE,
habari za kitaifa,
picha za utupu
6:45 PM
Picha ya Agness alipo achia video yake chafu
WAKATI baadhi ya mastaa bongo wakikataa kuolewa kwa sababu zao binafsi, mrembo anayetamba kwenye video za bongo Agnes Gerald maarufu kama Agnes Masogange, amedai kuwa kuishi bila mume kunamfanya aishi maisha ya raha, kwani anaamini akiolewa atakuwa kama mfungwa anayesubiri hukumu ya kifo.
Mwanadada huyo ambaye amekuwa akikumbwa na skendo kibao katika maisha yake, amedai kuwa maisha yake yanaenda poa bila hata ya kuwa na mume kwani ishu zake anazofanya zinamfanya aishi maisha mazuri.
“Kuhusu ndoa; Hapana kwa kweli maana ndoa ni kitu cha mwisho sana katika maisha yangu kwani sasa nahitaji kufanya ishu zangu za mjini, ambazo zinanipa maisha mazuri ambayo yananifanya nitoke kwenye umaskini,” alidai.
Hata hivyo alishindwa kueleza ni kazi gani anayofanya mjini ukiachilia mbali kuwapa tafu wasanii wa bongo kwenye video zao, ingawa alidai zipo ishu kibao ambazo amekuwa anazikifanya za ndani na nje ya nchi.
Posted by Bigie
agness masogange,
BONGO FLEVA,
BONGO MOVIE,
habari za kitaifa,
picha za utupu
2:20 PM
Hatimaye tumeipata live ile video ya Wazi ya Agness Masogange.Hawa ndo wanaojiita vioo vya jamii....Kazi ipo
Posted by Bigie
agness masogange,
BONGO MOVIE,
habari za kitaifa,
sintah
7:57 AM
Mwigizaji mwenye mbwembwe nyingi kutoka ndani ya tasnia ya filamu Bongo Christina Manongi 'Sintah' amemtaka video queen wa Bongo Agness Gerald Masogange kufunga bakuli lake (kunyamza kimya) na kuacha kumapakazia meneno machafu kwenye vyombo vya habari.
Akizungumza na mwandishi wetu mapema leo Sintah amesema kuwa amesikitishwa sana na kitendo cha Agness kumtaja yeye (Sintah) kuwa ndiye anahusika na kuisambaza kwenye mitandao video inayomuonyesha Agness akiwa mtupu huku pia akionekana kufanaya matendo kadhaa ya kingono.
"Nimemsikia na isitoshe kuna watu wengi wameniambia juu ya hilo la kunitukana na kunitaja redioni kuwa nahusika, mimi sijui lolote awaulize marafiki zake ambao mimi naamini ndiyo wanahusika kuzisambaza kwani hata kwenye BBM yangu ni wao ndiyo walinitumia namuomba afunge bakuli lake la siivyo nitazitoa zaidi kwani ninazo pati wani mpaka 3 na zote nimetumiwa na marafiki zake ambao yeye anacheka nao lakini hajui kama ni ma-sn***ch" alisema Sintah
Akiendelea zaidi Sintah amefunguka kuwa kamwe hajui lolote kuhusu kamera anayoisma Agnes, kwani binafasi hajawahi kukutana naye na alimjua kupitia nyimbo za wasanii wa Bongo Fleva kwa kuwa msichana huyo anapenda kuuza sura na zaidi hajui hata anapokaa.
Posted by Bigie
agness masogange,
BONGO FLEVA,
BONGO MOVIE,
habari za kitaifa,
picha za utupu
4:30 AM
Mrembo 'Classic' Agness Gerald 'Aggy Masogange' anayeng'arisha nyota yake kupitia viedo za wasanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, amemtupia zigo la lawama mwigizaji Christina Manongi 'Sintah' kufuatia kuvuja kwa mkanda wa video unaomuonyesha akiwa mtupu.
katika mahojiano aliyoyafanya na kituo kimoja cha redio Bongo, Aggy, amefunguka kuwa akiwa safarini nje ya Bongo alipewa taaraifa za kupotea kwa Digital Camera ambayo anadai ndiyo ilitumika kurekodia video hiyo na baada ya uchunguzi kufanywa na watu wake wa karibu iligundulika kuwa mwigizaji huyo ndiye anahusika na kupotea kwa kamera hiyo huku pia akidai ndiye aliyefanya kazi ya kusambaza video hiyo kwenye vyombo vya habari na mitandao kadhaa.
"Nilipewa taaraifa ya kupotea kwa kamera hiyo, nina hakika atakuwa sintah ndiye aliyefanya kazi ya kuisambaza, awali nilitaka kuchukua hatua juu ya jambo hilo lakini nikashauriwa na watu wangu kuwa nisifanye hivyo, kwa kweli najisikia vibaya lakini namwachia Mungu". alisema.
Posted by Bigie
agness masogange,
BONGO FLEVA,
BONGO MOVIE,
habari za kitaifa,
picha za utupu
8:16 AM
BAADA ya kuandamwa na skendo kibao za kutoka na vigogo kisura wa video za wasanii wa bongo, Agnes Gerald maarufu kama Agnes Masogange, ameonekana kwenye mkanda wa picha ya ngono ambao umesambaa mtaani huku ikiwa dili kwa watu wanaotaka kuona umbo la mwanadada huyo.
Mkanda huo unaomuonesha mwanadada huyo akiwa mtupu, huku utata mkubwa ukizunguka kujua ni kitu gani kilichosababisha hadi kusambazwa kwa video hiyo.
Mwandishi mmoja wa mtandao wa udaku hapa nchini alifanikiwa kupata video hiyo ambayo mwanadada huyo ameonekana na kijana mmoja ambaye bado hajafahamika jina lake.
Baada ya kupatatikana kwa video hiyo mtandao huo ulijaribu kumsaka Agnes ili kufafanua uwepo wake ndani ya video hiyo lakini hakuweza kupatikana kwenye simu yake .